Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (kushoto) na Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hass

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (kushoto) na Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh (kulia) alipohudhuria katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar