Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mama Mariam Mwinyi wakiagwa kwa gwaride Rasmin tayari kwa kurejea Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Maputo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mama Mariam Mwinyi wakiagwa kwa gwaride Rasmin tayari kwa kurejea Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Maputo nchini Msumbiji mara baada ya kumaliza kushiriki mkutano Nchi wanachama wa maendeleo ya kusini mwa Afrika (SADC)