Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Rais wa Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah wakati alipojumuika na Viongozi Wakuu wa Serikali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Rais wa Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah wakati alipojumuika na Viongozi Wakuu wa Serikali katika Dhifa ya Chakula cha Usiku iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa heshima ya Rais huyo.