Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa mkopo wa Shilingi Bilioni 240 kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na B
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa mkopo wa Shilingi Bilioni 240 kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Benki ya CRDB kwa ajili ya ujenzi wa skuli 23 za kisasa za ghorofa hapa Zanzibar.