RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki   na Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi ya Kwanza ya ATM ya CRDB Al- Barakah Benki na Meneja Kanda ya Mashariki Benki ya CRDB Ndg.Badru Idd, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-9-2023 na (kulia kwake) Mkuu wa Kitengo cha Islamic Banking Ndg.Rashid Rashid na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya CRDB Ndg.Juma Amour