RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha ya ramani ya Bara la Afrika na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya “Global Water Partnership S.Africa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha ya ramani ya Bara la Afrika na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya “Global Water Partnership Southern Africa”Bw.Alex Simalabwi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.