Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa agizo la kuanza kazi Mahkama ya Rushwa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameagiza taasisi zinazo husika na sheria kukamilisha mchakato wa utungaji wa sheria ili kuanza kazi kwa Mahkama…

Read More

Mama Mariam Mwinyi ametoa wito kwa Jamii kutumia mbinu za kuimarisha lishe

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi ametoa wito kwa jamii kutumia mbinu mbalimbali za…

Read More

Zanzibar ina Amani,umoja,mshikamano na Utulivu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar ina amani, umoja, mshikamano na utulivu pamoja na kuendelea shughuli za kimaendeleo na…

Read More