Wananchi wametakiwa kuitumia fursa ya kupata vitambulisho vya Taifa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wananchi wote kuitumia fursa ya kupata vitambulisho vya Taifa kwani ni haki yao ya kikatiba na kuwasihi…

Read More

Waumuni wa dini ya Kiislamu wametakiwa kufuata maadili na mwenendo wa Mtume Mohammad (S.A.W)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewataka waumuni wa dini ya Kiislamu kufuata maadili na mwenendo wa Mtume Mohammad (S.A.W) na kuwafunza watoto…

Read More

Dk.Shein amekutana na ujumbe kutoka kituo cha Biashara Duniani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na ujumbe kutoka Kituo cha Biashara Duniani (ICT), na kueleza kuwa hatua za kutumia tasnia ya malibunifu…

Read More

Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wananchi kuendelea kuviripoti vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia katika vyombo vinavyohusika ili sheria…

Read More

Dk.Shein akabithiwa mipira

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekabidhiwa mipira na Kamati ya Ugawaji Mipira chini ya mradi wa ‘One World Football For Africa’ na kusisitiza…

Read More

Serikali ya Oman imeahidi kuiunga mkono Serikali ya Zanzibar katika sekta ya Elimu

SERIKALI ya Oman imeeleza azma yake ya kuendelea kuinga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya elimu kwa kuanzia na elimu ya juu kupitia Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA).Waziri wa Elimu ya Juu…

Read More

Maafisa na Maaskari wa vikosi vya ulinzi wameshiriki katika chakula cha mchana

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameungana na maafisa na askari wa vikosi vya Ulinzi na Usalama wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali…

Read More

Kilele cha Maadhimisho ya wiki ya uwezeshaji kiuchumi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa juhudi zinazochukuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia…

Read More