Media

Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka watumiaji wote wa mitandao ya kijamii na wale wenye dhamana ya kusimamia na kufanya tahariri wawe makini…

Read More

Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Viongozi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Viongozi mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

Read More

DK. Shein azitaka Mahakama za Watoto kuongeza kasi ya usikilizaji wa kesi zaWatoto.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein ametoa changamoto kwa watendaji wa mahkama za watoto nchini kuongeza kasi, ari na kubuni mbinu bora zaidi zitakazowezesha…

Read More

Pongezi kwa Vikosi vya Ulinzi kwa walioshiriki katika gwaride la kutimiza miaka 52 ya Mapinduzi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameungana pamoja na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi walioshiriki katika gwaride la kutimiza miaka 52 ya Mapinduzi ya…

Read More

Dk. Shein azipa changamoto timu za Mafunzo na JKU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amevitaka vilabu vya Mafunzo na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU)ambavyo vinaiwakilisha Zanzibar katika mashindano ya vilabu…

Read More

Dk.Shein amewaapisha watendaji wa serikali aliowateua.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemwapisha Bwana Chimbeni Heri Chimbeni kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Utamaduni kufuatia uteuzi alioufanya ambapo…

Read More

DK.Shein amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Wete,Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Bwana Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete katika mkoa wa Kaskazini Pemba.

Read More

Maneno yao hayanisumbui mimi Rais kwa mujibu wa Katiba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema yeye hatishiki na maneno yanayosemwa dhidi yake na kusisitiza kuwa atabaki kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti…

Read More