Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza kwa dhati uongozi wa Maalim Seif Foundation kwa kuja na wazo la kutenga siku maalum kwa ajili ya kumbukumbu na kusherehekea maisha ya Hayati Maalim Seif Sharif Hama

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza kwa dhati uongozi wa Maalim Seif Foundation kwa kuja na wazo la kutenga siku maalum kwa ajili ya kumbukumbu…

Read More

RAIS wa Zanzibar na MBM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalishughulika na Masuala ya Jinsia na Uwezeshaji wa Wananawake (UN WOMEN)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalishughulika na Masuala ya Jinsia na Uwezeshaji…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa cheo cha heshima na jukumu la kuwa kinara au bingwa wa Taifa wa Kampeini ya “The National Champion for the UN Women HeForShe campaign”

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa cheo cha heshima na jukumu la kuwa kinara au bingwa wa Taifa wa Kampeini ya “The National Champion for…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa Mikoa na Wilaya zote nchini kuhakikisha vijana wa Kizanzibari wanapewa kipaumbele katika upatikanaji wa nafasi za ajira katika miradi ya Uwekezaji maeneo yao

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa Mikoa na Wilaya zote nchini kuhakikisha vijana wa Kizanzibari wanapewa kipaumbele katika upatikanaji…

Read More