Dk.Mwinyi ameshiriki mazoezi ya viungo kisiwani Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaongoza Mamia ya Wana Mazoezi katika Matembezi ya Siku ya Mazoezi Kitaifa Kisiwani Pemba.Matembezi hayo ya Kilomita…

Read More

Dk. Mwinyi amesema Serikali Itaendelea Kuunga Mkono Matamasha

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amesema Serikali itaendelea kuunga Mkono Matamasha yenye Manufaa na tija kwa Ukuaji wa Uchumi wa nchi.Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipojumuika…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameuagiza Mfuko wa Barabara kuzifanyia ukarabati barabara mpya zote mara tuu zitakapopata hitilafu kwa kuzitengeneza

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameuagiza Mfuko wa Barabara kuzifanyia ukarabati barabara mpya zote mara tuu zitakapopata hitilafu kwa kuzitengeneza…

Read More