Dk.Shein amewaapisha Viongozi mbali mbali wa Serikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Hassan Khamis Hafidh kuwa Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Rajab Ali Rajab kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Dkt.Makame Ali Ussi kuwa Naibu Waziri wa Kilimo,Maliasili, Mifugo na Uvuvi, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Issa Juma Ali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Kaskazini "B" Unguja,
Viongozi mbali mbali waliohudhuroa katika hafla ya kuapishwa Mawaziri,Naibu Mawaziri na Wakuu wa Wilaya katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo,ambapo Viongozi hao waliapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Choum Kombo Khamis kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Naibu Waziri wa Habari,Utalii, Utamaduni na Michezo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Shadia Mohamed Suleiman kuwa Naibu Waziri wa Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Salama Aboud Twalib kuwa Waziri wa Ardhi,Nyuma,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Ardhi, Maji,Nishati na Mazingira
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri wa Ardhi,Nyuma,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Naibu Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Maudline Cyrus Castico kuwa Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee,Wanawake na Watoto, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Mahmoud Thabit Kombo kuwa Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya kale katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Afya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Futari iliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika Viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Mikoa huo kila ifikapo mwezi 27 ya Mfungo wa Ramadhan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Rashid Ali Juma kuwa Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Habari, Utalii,Utamaduni na Michezo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Hamad Rashid Mohamed kuwa Waziri wa Afya katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi
Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa baadhi ya Mawaziri walioteuliwa kuongoza wizara mbali mbali za Serikali katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zabnzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Dkt.Sira Ubwa Mamboya kuwa Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Balozi Ali Abeid Karume kuwa Waziri wa Vijana, Utamaduni,Sanaa na Michezo katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji
Dk.Shein amekutana na Viongozi wa Tume ya Uchaguzi Taifa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Hamid Mahmoud Hamid kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Jaji Khamis Ramadhan Abdalla kuwa Mjumbe wa Tume Mpya ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuriaM.Mahmoud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage alipofika Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na ujumbe aliofuatana nao
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jecha Salim Jecha mara baada ya kukabidhi Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume hiyo kwa kipindi cha miaka mitano walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Dk.Shein (kulia) amekutana na Balozi wa Nigeria katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Nigeria katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Sahabi Isa Gada alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha kwa Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Nigeria katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Sahabi Isa Gada wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Nigeria katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Sahabi Isa Gada alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha.
Dk.Shein amewatunuku wahitimu wa Chuo Cha Taifa Suza.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Zanzibar kuhudhuria hafla ya mahafali ya 13.
MKUU wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib, alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha SUZA Tunguu Zanzibar kuhudhuria mahafali ya 13 ya SUZA.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo Cha Taifa cha SUAZA Profesa Idris Ahamad Rai, baada ya kuufungua ukumbi wa Mkutano wa Dk. Ali Mohamen Shein SUZA.wa hafla ya mahafali ya 13 yaliofanyika katika ukumbi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuufungua Ukumbi wa Mikutano waChuo Cha Taifa Zanzibar (SUZA) uliopiwa jila la Dk. Ali Mohamed Shein.
MKUU wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi la Jengo la Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Zanzibar.
WAHITIMU Chuo Kikuu cha Taiza Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano wakielekea katika ukumbi wa Mahafali wa Dk. Ali Mohamed Shein,Tunguu.
WAKUFUNZI na Wakuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano ya Mahafali ya 13 ya SUZA wakielekea katika ukumbi wa mahafali wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu.
MKUU wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Wakuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kwenye mahafali ya 13 yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Futari iliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika Viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Mikoa huo kila ifikapo mwezi 27 ya Mfungo wa Ramadhan.
Dk. Shein amehutubia Siku ya Sheria Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waheshimia Majaji wa Mahakama Kuu Zanzibar wakati akiwasili katika viwanja vya zamani vya Baraza la Wawakilishi kikwajuni Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akionesha Vitabu vya Sheria wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
BAADHI ya wananchi na wageni waalikwa wakifuatilia hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akihutubia hafla hiyo.
BAADHI ya wageni waalikwa katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo, katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuufungua mkutano huo leo,katika Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Haji Ussi Gavu akimuwakilisha Waziri wa Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Siku ya Sheria Zanzibar kabla ya kumkaribisha mgeni rasimin kuhutubia hadhara hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akinesha Vitabu vya Sheria wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
KIKUNDI cha Sanaa cha Makombora Black Root wakionesha mchezo wa kuigiza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
KIKUNDI cha Sanaa cha Makombora Black Root wakionesha mchezo wa kuigiza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
BAADHI ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Zanzibar wakishiriki Siku ya Sheria Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hadhara hiyo.
NAIBU Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe. Muumin Khamis Omar,akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
RAIS wa Chama cha Mawakili Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omat Othman Makungu akitowa maelezo ya utekelezaji wa Mahakama Zanzibar wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi Zanzibar.
JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omat Othman Makungu akitowa maelezo ya utekelezaji wa Mahakama Zanzibar wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Hafla ya Siku ya Sheria Zanzibar maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.