State House Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri Nape Mnauye Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza maziko ya marehemu Said Bakari Jecha aliyewahi kuwa Waziri wa SMZ yaliofanyika Fumba.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Zanzibar baada ya kumaliza ziara yake UAE.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Uongozi wa Kampuni ya IHC ya Abu Dhabi

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya Mazungumzo na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mambo ya Nje Sheikh. Shakhboot Nahyan , akiwa katika ziara yake U.A.E.