Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Maonesho ya Wiki ya Vijana na kuzuru Kaburi la Marehemu John Pombe Magufuli
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa salamu za heshima baada ya kuweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu John Pombe Magufuli alipofika nyumbani kwa marehemu Chato kusalimia familia ya marehemu na (kushoto) Mjane wa Marehemu Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu John Pombe Magufuli,alipofika nyumbani kwa marehemu kusalimia familia ya marehemu Chato na (kushoto) Mjane wa Marehemu Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Chato Mkoani Geita katika viwanja vya Mazaina,baada ya kutembelea maonesho ya Wiki ya Vijana yaliofanyika katika viwanja hivyo.
WANANCHI wa Chato Mkoani Geita wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia katika viwanja vya mazaina Chato,baada ya kutembelea Maonesho ya Wiki ya Vijana yaliofanyika katika viwanja hivyo.
WASANII wa Kikundi cha Taraab cha Wajelajela wakitowa burudani katika viwanja vya Mazaina Chato wakati wa maonesho ya Wiki ya Vijana yaliofanyika katika viwanja hivyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar Ndg. Yussuf Juma akitowa maelezo ya bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na Mabaraza ya Vijana Zanzibar,wakati alipotembelea banda lao katika maonesho ya Wiki ya Vijana yaliofanyika katika viwanja vya Mazaina Chato Mkoani Geita.
WANANCHI wa Chato Mkoani Geita wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayuko pichani) akiwahutubia katika viwanja vya Mazaina Chato baada ya kutembelea Maonesho ya Wiki ya Vijana yaliofanyika katika viwanja hivyo.ikiwa ni shamrashamra za Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru na Kumbukizi wa Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama, wakimsikiliza Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Kanda Chato Dr.Marygoreth Changaluda alipotembelea alipotembelea mabanda ya Maonesho ya Wiki ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Mazaina Chato.
Rais wa Zanzibar Mhe Dk Hussein Ali Mwinyi amewasili Mkoani Geita Chato.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama na Viongozi mbalimbali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Geita Chato 13/10/2021, kuhudhuria Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama na Viongozi mbalimbali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Geita Chato leo 13/10/2021, kuhudhuria Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Viongozi mbalimbali wa Serikali Uwanja wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Wilaya ya Chato Mkoani Geita, kuhudhuria Kilele cha Mbio za Mwenge na Kumbikizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama na Viongozi mbalimbali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Geita Chato 13/10/2021, kuhudhuria Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Namibia Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Mhe.Lebbius Tangeni Tobias alipofika Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Mhe.Lebbius Tangeni Tobias baada ya mazungumzo yao aliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Namibia Nchini Tanzania Mhe.Lebbius Tangeni Tobias wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar.
Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana kwa Mazungumzo na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Ahamada El Badoi Mohamed Fakih wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Hus sein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mgeni wake Balozi wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Nchini Tanzania Mhe. Dkt.Ahamada El Badoi Mohamed Fakih alipofika Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Nchini Tanzania Mhe. Dkt.Ahamada El Badoi Mohamed Fakih baada ya mazungumzo yao aliyofanyika Ikulu jijini Zanzibar.
Mapokezi ya Ndege Mpya za Shirika la Ndege Tanzania ATC.
Ndege 2 za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) zikimwagiwa maji kama ishara ya kupata baraka zilipowasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana wasaidizi wake baada ya kumalizika kwa hafla ya sherehe ya mapokezi ya Ndege 2 Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Wahudumu wa Ndege 2 Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakiwa wameshikilia wauwa wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Wahudumu wa Ndege Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Marubani wa Ndege Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Wahudumu wa Ndege Mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati wa mapokezi rasmi zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akishuhudia Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Hussein Othman Katanga (kulia) na Katibu Mkuu Uchukuzi Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na mawasiliano Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Gabriel Migire wakikabidhiana hati wakati mapokezi ya Ndege 2 mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa mgeni rasmin na Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya sherehe ya mapokezi ya Ndege 2 mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (kushoto) pamoja na Waziri wa ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Maka me Mnyaa Mbarawa wakiangalia Ndege 2 mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati zilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya mapokezi ya Ndege 2 mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibarzilizowasili leo,ambapo Viongozi mbali mbali wa Serikali wamehudhuria akiwepo na Waziri Mkuu wa wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa.