State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk.Shein amefungua Daraja la Kibondemzungu Barabara ya Fuoni Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, alipowasili katika viwanja vya hafla ya Ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu, ikiwa ni shamra shamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika eneo la daraja hilo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe Dkt. Sira Ubwa,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapoinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Daraja la Kibondemzungu Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar , (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi , Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe. Dkt. Sira Ubwa, hafla hiyo imefanyika katika daraja hilo la kibondemzungu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua daraja hilo baada ya kulifungua, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dkt. Sira Ubwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Zuberi Ali Maulid na (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg.Mustafa Aboud Jumbe, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • BAADHI ya Viongozi wa jukwaa kuu wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Fuoni wakiimba wimbo wa “Sisi Sote Tumegomboka” wakati wa hafla ya ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu Wilaya ya Magharibi “B” Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • MWANANCHI wa Kijiji cha Fuoni Kibondemzungu Wilaya ya Magharibi “B” Unguja akishiriki katika kuimba wimbo wa “Sisi Sote Tumegomboka” wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu barabara ya fuoni, wakati wa shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • BAADHI ya Viongozi wa jukwaa kuu wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar.Ndg.Mustafa Aboud Jumbe akitowa maelezo ya Kitaalam ya Ujenzi wa Daraja la Kibondemzungu Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Msimamizi wa Mradi Ujenzi la Kibondemzungu.Eng.Cosmas Masolwa, akitowa maelezo ya kitaalum ya ujenzi huo, wakiwa katika daraja hilo baada ya ufunguzi wake uliofanyika 9-1-2020, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • BAADHI ya Viongozi wa jukwaa kuu wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • BAADHI ya Wageni waalikwa na Wananchi wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu barabara ya fuoni Wilaya ya Magharibi”B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) wakati wa hala hiyo iliofanyika katika eneo hilo
  • BAADHI ya Wageni waalikwa na Wananchi wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu barabara ya fuoni Wilaya ya Magharibi”B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) wakati wa hala hiyo iliofanyika katika eneo hilo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu Fuoni, ikiwa shamrashamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Balozi Seif Ali Iddi na ( kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Dk. Sira Ubwa.

Dk. Shein atunuku Nishani za Mapinduzi,Utumishi wa Umma na Ushujaa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimpongeza Mfanyabiashara Maarufu Bw. Salim Said Bakhresa baada ya kumtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Wananchi Wenye Sifa Maalum, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za sherhe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum, Meja Jenerali (Mstaafu) Khamis Rajab Semfuko, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Msaidizi Mwanandamizi Kamishna wa Polisi (SACP) (Mstaafu) Saada Ibrahim Makungu hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum. Ndg. Said Salim Bakhresa, hafla hiyo imefanyika 8-1-2020, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi Wenye Sifa Maalum Ndg. Haji Nassib Haji (Nyanya) hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk, Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Kwa Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum.Ndg. Hassan Juma Khamis, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum,Ndg.Zaidi Juma Ussi, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. ikiwa ni shamrashamra za kuadhiumisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum.Bi. Khadija Hassan Aboud, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum.Ndg.Daud Suleiman Ali, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwa ni kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa amesimama wakati ukupigwa Wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla ya sherehe za Kutunuku Nishani ya Mapinduzi na Nishani ya Utumishi Uliotukuka na Nishani ya Ushujaa, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • VIONGOZI wa Serikali wastaafu wakisoma ratiba ya hafla ya Utunuku wa Nishani za Mapinduzi katika viwanja vya Ikulu jijini Zanzibar kutoka (kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Rais Mstaaf wa Zanzibar. Mhe. Dkt. Amani Karume,Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid, Jaji Mkuu wa Zanzibar. Mhe. Omar Othman Makungu, Makamu wa Rais Mstaaf Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Kiongozi Mstaaf Mhe. Shamsi Vuai Nahodha wakiwa katika viwanja vya Ikulu wakifuatilia hafla hiyo.
  • KATIBU MkuuOfisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg Salum Maulid akitowa maelezo ya utowaji wa Nishani za Mapinduzi, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • BAADHI YA Viongozi wa Serikali wakifuatilia hafla ya Utunuku wa Nishani za Mapinduzi, zilizofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, (kutoka kulia) Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Said Hassan Said, Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, Mhe.Mohammed Faki na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu, wakifuatilia hafla hiyo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wananchi waliotunukiwa Nishani ya Mapinduzi, Nishani ya Utumishi Ulitukuka, na Nishani ya Ushujaa, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Dk.Shein aweka jiwe la msingi Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamede Shein, akimsikiliza Msimamizi wa Mradi wa Jengo hilo Ndg.Peter Lazaro , wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Eng. Dkt. Idrisa Muslim Hija
  • WANANCHI wa Kijiji cha Wingwi wakifuatilia hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  • WANANCHI wa Kijiji cha Wingwi wakifuatilia hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimpongeza Mtoto Fatma Hamad Juma, Mwanafunzi wa Skuli ya Msingi Konde aliyeshiriki katika kuimba wimbo Maalum na kutowa Salamu za Watoto wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  • WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Konde wakiimba wimbo maalum wa kuwapongeza Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Wingwi Wilaya ya Micheweni Pemba, ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli hiyo.
  • WANANCHI wa Kijiji cha Wingwi wakifuatilia hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli hiyo
  • WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Wanachama na Wanamchi wa Kijiji cha Wingwi wakifuatilia hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli hiyo.
  • WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Konde wakiimba wimbo maalum wa kuwapongeza Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Wingwi Wilaya ya Micheweni Pemba, ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa ni shamra shamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia kwa Rais ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Mohammed Aboud Mohammed na (kushoto kwa Rais ) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma.

Dk.Shein ameweka Jiwe la Msingi Tangi la Maji Saateni.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar.(ZAWA) baada ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Tangi la Maji Saateni linalooneka nyumba, (kulia kwa Rais ) Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar. Mhe.Salama Aboud Talib na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo.Ndg. Ali Halil na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati.Mhe. Juma Makungu Juma.
  • MUONEKANO wa Tangi la Jipya la kushamazia Maji katika Maeneo ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar likiwa limekamilika ujenzi wake na kuzinduliwa leo ikiwa ni shamra shamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi huo Saateni
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa (ZAWA) Ndg.Mussa Ramadhani Haji akitowa maelezo ya Kitaalamu ya ujenzi wa Tangi la Maji Saateni Zanzibar, wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliofanyika leo, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kulizindua Tangi la Maji Saateni Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati.Mhe.Salama Aboud Talib n (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyuma Maji na Nishati. Ndg. Ali Halil na Mkurugenzi Mkuu (ZAWA) Ndg. Mussa Ramadhan Haji.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Tangi Jipya la Maji Saateni Wilaya ya Mjini Unguja, (kulia kwa Rais) Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati. Mhe. Salama Aboud Talib na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati.Ndg. Ali Halil na Mkurugenzi Mkuu wa (ZAWA)Ndg. Mussa Ramadhani Haji, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kulizindua Tangi la Maji Saateni Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati.Mhe.Salama Aboud Talib na(kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyuma Maji na Nishati.Ndg. Ali Halil na Mkurugenzi Mkuu (ZAWA) Ndg. Mussa Ramadhan Haji.

Dk.Shein amefungua majengo ya Skuli za Sekondari tisa za Unguja na Pemba.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akikata uteke kuashiria kuzifungua Skuli Tisa za Sekondari Zanzibar zilizojengwa Unguja na Pemba, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma na (kulia kwa Rais)Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Mhe. Zuberi Ali Maulid.
  • MUONEKANO wa Jengo la Skuli mpya ya Sekondari ya Rahaleo Wilaya ya Mjini Unguja iliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kwa niaba ya Skuli Tisa za Unguja na Pemba, ikiwax ni shamrashamra za Kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Rahaleo, kwa niaba ya Skuli hizo Mpya Tisa zilizojengwa Unguja na Pemba.(kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma.ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwalimu wa Somo la Sayansi wa Skuli ya Kiembe samaki.Ndg Issa Masoud akitowa maelezo, wakati Rais wakati akitembelea maabara ya Sayansi katika Skuli hiyo ya Sekondari, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Elimu Sekondari Bi.Asia Iddi Issa, wakati akitembelea darasa la Komputa katika Skuli hiyo baada ya kuifungua leo 5-1-2020, kwa niaba ya Skuli za Sekondari Tisa za Ungyuja na Pemba, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Mhe.Riziki Pembe Juma.ikiwa ni shamrashamra za kuadshimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Skuli Mpya ya Sekondari Rahaleo Jijini Zanzibar kwa niaba ya Skuli tisa zilizojengwa Unguja na Pemba, ikiwa ni shamra shamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma akizungumza wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja, ikiwa nin shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar(Picha na IKULU)
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Eng. Dkt.Idrisa Muslim Hija akitowa maelezo ya Kitaalam ya Ujenzi wa Skuli Tisa za Sekondari Unguja na Pemba, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Skuli hizo uliofanywa kwa niaba ufunguzi huo umefanyika katika mmoja ya Skuli hizo ilioko Rahaleo Wilaya ya Mjini Unguja.
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Skuli Tisa za Sekondari zilizojengwa Unguja na Pemba.
  • BAADHI Walimu na Wananchi wa Wilaya ya Mjini Unguja wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia ( hayupo pichani)
  • BAADHI Walimu na Wananchi wa Wilaya ya Mjini Unguja wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani)
  • VIJANA uhamasishaji wakishangilia wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar kwa niaba ya Skuli Tisa mpya za Sekondari zilixzojengwa Unguja na Pemba, ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • BAADHI Walimu na Wananchi wa Wilaya ya Mjini Unguja wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Rahaleo Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia ( hayupo pichani)
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Rahaleo, kwa niaba ya Skuli hizo Mpya Tisa zilizojengwa Unguja na Pemba.(kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma.ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.