State House Blog

Rais wa Zanzibar Dk.Shein amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Eid Fitry.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Alhajj Ali Mohamerd Shein, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Aman Karume alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria Ibada ya Sala ya Eid Fitry,5-6-2019
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Alhajj Ali Mohamerd Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria Ibada ya Sala ya Eid Fitry,5-6-2019
  • SHEIKH Khamis Gharib Khamis akiongosa Sala ya Eid Fitry katika viwanja vya Maisara Suleiman
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisikiliza Hutba ya Sala ya Eid Fitry baada ya kumalizika kwa Sala hiyo iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman, kushoto Sheikh Abdalla Talib, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali katika viwanja vya Maisara Suleiman baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Fitry kushoto Sheikh Abdalla Talib na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
  • MZEE Khatib akifutilia hutuba ya Sala ya Eid Fitry katika viwanja vya Maisara Suleiman leo baada ya kumalizika kwa sala hiyo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali katika viwanja vya Maisara Suleiman baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Fitry leo. kushoto Sheikh Abdalla Talib na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
  • BAADHI ya Viongozi na Wananchi wakifuatilia Hutba ya Sala ya Eid Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
  • BAADHI ya Viongozi na Wananchi wakifuatilia Hutba ya Sala ya Eid Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatiula hutba ya Sala ya Eid Fitry katika viwanja vya Maisara Suleiman leo ikisomwa na Sheikh Khamis Gharib Khamis.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsalimia Mtoto Abdalla Waziri baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Fitry katika viwanja vya Maisara Suleiman asubuhi.

Dk.Shein amezungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davutaglu, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wa Kampuni ya Okan kutoka Nchini Uturuki.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania kushoto Mhe. Ali Davutaglu,Mwenyekiti wa Kampuni ya Okan,Bwa. Bekir Okan na Ugur Erkray, wakiwa katika mazungumzo hayo yaliofanyika Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Okan ya Uturuki Bwa.Bekir Okan na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davuttaglu, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.

Dk.Shein amejumuika na wananchi wa Mkoa wa Mjini Magh katika futari iliyofanyika Ikulu.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyewkiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Karume, wakipata futari ya tende katika viwanja vya Ikulu Zanzibar na kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, futari hiyo imefanyika, katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja katika futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.
  • MABALOZI Wadogo wanaowakilisha Nchi Zanzibar wanaofanyia zao Zanzibar wakishiriki katika hafla ya futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, na kulia Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na kuagana na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
  • WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakijumuika katika Futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katikac viwanja vya Ikulu Zanzibar.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na kuagana Rais wa Mstaaf wa Zanzibar Mhe Dkt. mani Karume, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk., Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Mama Fatma Karume, baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu akizungumza na kutowa shukrani kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar

Mama Mwanamwema Shein, amejumuika na watoto Mayatima wa Mazizini katika Futari aliyowaandalia.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuka na Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar katika Futari Maalum aliyowaandalia jana 28-5-2019, katika makazi yao mazizini, akiwa na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa na Mtoto anayelelewa katika Nyumba ya Watoto Mazizini Zanzibar Mtoto Nadir Abdalla mwenye umri wa mwaka moja na miezi mitano, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya futari maalum aliyowaandalia katika makazi yao mazizini Zanzibar.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa katika futari aliyowaandalia Watoto wa Nyumba ya Serikali ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar, kulia Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman Iddi na kushoto Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Mauydline Castico, wakijumuika na Watoto hao katika futari hiyo iliofanyika katika makazi yao mazizini
  • WATOTO wa Nyumba ya Watoto Mazizuini Zanzibar wakiwa katika futari ilioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,iliofanyika katika makazi yao mazizini Zanzibar.
  • WATOTO wanaoishi katika Nyumba ya Serikali ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar wakipata futari walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, iliofanyika katika makazi yao mazizini
  • WATOTO wa Nyumba ya Watoto Mazizuini Zanzibar wakiwa katika futari ilioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,iliofanyika katika makazi yao mazizini Zanzibar.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na kuagana na Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia katika makazi yao Mazizini akiwa na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.
  • WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee, Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe.Maudline Castico, akizungumza na kutowa neno la shukrani kwa Niaba ya Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya futari iuliofanyika katika makazi ya Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa katika futari aliyowaandalia Watoto wa Nyumba ya Serikali ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar, kulia Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman Iddi na kushoto Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Mauydline Castico, wakijumuika na Watoto hao katika futari hiyo iliofanyika katika makazi yao mazizini

Mama Mwanamwema Shein amejumuika na watoto wa SOS katika futari aliyowaandalia.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar , katika Futari Maalum aliyowaandalia katika makazi yao.MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar , katika Futari Maalum aliyowaandalia katika makazi yao.
  • WATOTO wa Kijiji cha Watoto SOS Mombasa Zanzibar wakipata futari walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na kujumuika nae katika hafla hiyo ya futari iliofanyika jana 27-5-2019, katika makazi yao Mombasa Zanzibar

  • WATOTO wa Kijiji cha Watoto SOS Mombasa Zanzibar wakipata futari walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na kujumuika nae katika hafla hiyo ya futari iliofanyika jana 27-5-2019, katika makazi yao Mombasa Zanzibar.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi na kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji wa Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico, wakijumuika na Watoto wa Kijiji cha Watoto cha SOS Mombasa Zanzibar, katika futari Maalum walioandaliwa na Mama Mwanamwem,Shein,katika makaazi yao
  • WATOTO wa Kijiji cha Watoto SOS Mombasa Zanzibar wakipata futari walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na kujumuika nae katika hafla hiyo ya futari iliofanyika jana 27-5-2019, katika makazi yao Mombasa Zanzibar.
  • MKURUGENZI wa Kijiji cha Watoto cha SOS Mombasa Zanzibar Bi.Asha Salum Ali, akitowa neno la shukrani kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya futari maalum ilioandaliwa katika makaazi yao.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akimsalimiana mmoja wa Watoto Wanaolelewa katika Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar Wahida Abdallah, aliyebebwa na mtoto mwezake Amina Shabani, baada ya kumalizika kwa kwa hafla ya futari aliyowaandalia katika makaazi yao SOS Mombasa Zanzibar
  • MKE wa Rais wa Zanzibaerv Mama Mama Mwanamwema Shein, akiitikia dua ikisomwa na Mtoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar Mohammed Ali Deus, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika katika ukumbi wa SOS Mombasa Zanzibar kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi na kulia Waziri wa Kazi, Uwezeshaji wa Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar, Mhe Maudline Castico.
  • MTOTO Mohammed Ali Dausi akisoma dua baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, iliofanyika katika makaazi ya SOS Mombasa Zanzibar.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na kuagana na Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar, baada ya kumaliza hafla ya futari aliyowaandalia katika makaazi yao Mombasa Zanzibar