Dk.Shein Azungumza na Executive Coordinotor wa Program ya Kujitolea ya “United Nations Volunteers”
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mratibu Mkuu wa Program ya Kujitolea ya "United Nations Volunteers " (UNV) Bw,Oliver Adam kushoto,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Mhe Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mratibu Mkuu wa Programu ya Kujitolea ya (UNV) " United Nations Volunteers "Bw.Oliver Adam, kushoto akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mratibu Mkuu wa Programu ya Kujitolea ya (UNV) " United Nations Volunteers "Bw.Oliver Adam, kushoto akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mratibu Mkuu wa Program ya Kujitolea ya "United Nations Volunteers " (UNV) Bw,Oliver Adam.
Dk.Shein: Watu hawaziheshimu na hawazifuati sheria za ardhi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Semina ya Kitaifa Kuhusiana na Masuala ya Ardhi na Rasilimali zisizorejesheka Zanzibar, ikiwashirikisha Wadau wa Ardhi na Sheria , inliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni
WAZIRI wa Ardhi Maji Nyumba na Nishati Mhe. Salama Aboud Talib, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindsuzi Mhe,. Dk.Ali Mohamed Shein, kufungua Semina hiyo ya Siku moja kwa Watendaji wa Serikali iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali Mhe. Said Hassan Said, akisoma kabrasha wakati wa hafla ya Semina ya Kitaifa ya Kuhusiana na Ardhi na Rasilimali Zisizorejesheka Zanzibar, iliofanyika katika Ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, akiwa na Waheshimiwa Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar.
BAADHI ya Washiriki wa Semina ya Kitaifa ya Kuhusiana na Masuala ya Ardhi na Rasilimali Zisizorejesheka Zanzibar, wakifuatilia hafla hiyo katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Semina ya Kitaifa Kuhusiana na Masuala ya Ardhi na Rasilimali zisizorejesheka Zanzibar, ikiwashirikisha Wadau wa Ardhi na Sheria , inliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said, akiwa na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia semina hiyo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia wakati wa ufunguzi wa Semina hiyo iliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kulia Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Mmanga Mjawiri , Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar,Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Balozi Amina Salum Ali na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar. Mhe. Haroun Ali Suleiman, wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Semina ya Kitaifa ya Kuhusu Masuala ya Ardhi na Rasilimali Zizisorejesheka Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni.
MRAJISI wa Ardhi Wizara ya Ardhi,Nyumba Maji na Nishati Zanzibar Dkt. Abdul-Nassir Hemed Hikmany, akiwasilisha Mada kuhusiana na Matumizi ya Ardhi Zanzibar, wakati wa hafla ya Semina hiyo iliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed, akichangia Mada iliowasilishwa kuhusu Matumizi ya Ardhi Zanzibar wakati wa Semina hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
JAJI wa Mahkama Kuu Zanzibar Mhe. Rabia Mohammed, akichangia wakati wa Semina hiyo iliowashirikisha Wadau mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kuzungumzia Matumizi ya Ardhi Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
WAZIRI Asiyekuwa na Wizara Maalum (MBM) Mhe. Said Soud akichangia Mada wakati wa Semina ya Kitaifa Kuhusu Masuala ya Ardhi na Rasilimali zisizorejesheka Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
MWENYEKITI wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar Jaji Mshibe Ali Bakari, akichangia Mada wakati wa Semina ya Kitaifa Kuhusu Masuala ya Ardhi na Rasilimali Zisizorejesheka Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni.
KATIBU Mtendaji wa Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar Sheikh.Abdallah Talib, akichangia Mada kuhusiana na Matumizi ya Ardhi wakati wa semina hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
Dk.Shein amewaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Ndg. Khalid Abdallah Omar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali kushoto Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid,Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja.Bi. Hamida Mussa Khamis na Naibyu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Ndg Khalid Abdallah Omar na kulia Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.Said Hassan Said,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Saleh Kabi na Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg.Omar Said Ameir.
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakihudhuria hafla ya kuapishwa Viongiozi walioteuliwa hivi karibuni, kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Saleh Kabi
BAADHI ya Wanafamilia wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakihudhuria hiyo ya kuapisha iliofanyika Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Ndg. Khalid Abdallah Omar, wakati wa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Bi. Hamida Mussa Khamis, hafla hiyo imefanyika 13-3-2019, Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Ndg. Khalid Abdallah Omar, hafla hiyo imefanyika 13-3-2019, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mtendaji Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir, hafla hiyo imefanyika 13-3-2019
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya Kiapo ya Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
Mama Mwanamwema Shein mgeni rasmin siku ya Wanawake Gombani Pemba.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) Bi.Gaudensia Kabaka,alipowasili katika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba, kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kitaifa zimefanyika Kisiwani Pemba katika Uwanja wa Gombani 8-3-2019.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akitembelea Maonesho ya Wajasiriamali Wanawake Kisiwani Pemba yaliofanyika katika viwanja vya Gombani chakechake, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiangalia Bidhaa za Wajasiriamali Wanawake wa Kisiwani Pemba wakati akitembelea maonesho hayo ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kisiwani Pemba Uwanja wa Gombani, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama.Asha Suleiman Iddi.
Wanawake kutoka sehemu mbali mbali Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akihutuba wakati wa hafla hiyo ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Pemba 8-3-2019.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akiwasalimia Vijana wa Madrasa kutoka Chake Chake wakipiga dufu,wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kisiwani Pemba katika Uwanja wa Gombani.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kitaifa Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba,8-3-2019.
Dk.Shein,amezungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China. Bwa.He.Liehui, aliupofika Ikulu Zanzibar,8-3-2019, kwa ajili ya mazungumzo.kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe. Jaji Thomas Mihayo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China, kushoto Bwa, He.Liehui, akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe. Jaji Thomas Mihayo.wakiwa katika mazungumzo hayo Ikulu Zanzibar 8-3-2019
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe.Jaji Thomas Mihayo, akimtambulisha Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China, Bwa, He. Liehui, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo,8-3-2019,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China. Bwa.He.Liehui, aliupofika Ikulu Zanzibar,8-3-2019, kwa ajili ya mazungumzo.kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe. Jaji Thomas Mihayo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Mhe.Jaji Thomas Mihayo, wakitoka katika ukumbi Ikulu baada ya kumaliza mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China Bwa, He.Liehui 8-3-2019.