State House Blog

Dk.Shein ameongoza Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mwalimu Kombo,kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar.
  • Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa CCM Afisi Kuu Zanzibar, alipowasili kuhudhuria Kikoa cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar
  • Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,. Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Hamad Mberwa, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuhudhuria Kokao cha Kamati Maalu ya CCM Zanzibar
  • Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa wamesimama wakati wa kuwasili Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuongoza Kikoa cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika Afiki Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM na Makamu wa Pili wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Mwalimu Kombo, wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Kikoa cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar uliofanyikia Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Mkutano wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afiri Kuu ya CCM Zanzibar, kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Mhe.Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijiandaa kufungua Mkutano wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kushoto Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
  • WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akisalimiana naMjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mwalimu Kombo,kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar.
  • WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Zanzibar

Dk.Shein amemuapisha Mkuu wa KVZ Zanzibar Major Said Ali Juma Shamhuna.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Varantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Ukulu Zanzibar, 21-6-2019, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Idd
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Varantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ukulu Zanzibar, 21-6-2019, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Idd
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kumpongea Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibare KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar.
  • MKUU Mpya wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna akipitia Hati ya kiapo kabla ya kuaza kwa hafla hiyo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna,baada ya kumaliza kuapa hafla hiyo imefanyika Ikulu.
  • MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, akimsalimia na kumpongea Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna, baada ya kumaliza hafla hiyo leo Ikulu Zanzibar.
  • Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Mkuu Mpya wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyila leo Ikulu Zanzibar.
  • MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanziubar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Bara la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Said Hassan Said na Viongozi wengine wa Sereikali wakihudhuria hafla ya kuapishwa Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika 21-6-2019 Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya kumaliza hafla ya kumuapisha Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna,iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Dk.Shein amezungumza na ujumbe wa Taasisi ya L-Hikma.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Taasisi ya Al -Hikma Foundation ya Jijini Dar es Salaam Sheikh Nurdin Muhammed Ahmed Kishki, alipofika IKulu Zanzibar kwa mazungumzo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Al-Hikma Fundation ukiongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Taasisi hiyo kulia Sheikh Nurdin Muhammed Ahmed Kishki, Sheikh Suleiman Khamis Habib,walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumsalimia.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,hayuko pichani baada ya kumaliza mazunguymzo na Ujumbe wa Taasisi ya Al -Hikma Foundation ya Jijini Dar es Saalam ukiongonzwa na Mkurugenzi Mkuu Sheikh.Nurdin Muhammed Ahmed Kishki kulia Sheikh Suleiman Khamis Babib na Mussa Rajab Mushi, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akimsikiliza Mwenyekiti wa Usalama na Itifaki na Mnadhimu Mkuu wa Al Hikma Fundation Sheikh Suleiman Khamis Habib, akitowa maelezo kuhusiana na Taasisi yao wakati wa mazungumzo hayo yaliofanyika Ikulu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Taasisi ya Al -Hikma Foundation ya Jijini Dar es Salaam waliokaa kutoka kushoto Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Sheikh Nurdin Kishki, Sheikh. Suleiman Khamis Habib na Sheikh.Omar Hussein Mussa na kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, Katibu Ofisi ya Mufti Mkuu Sheikh Fadhil Soraga na Mussa Rajab Mushi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa BLM DK Ali Mohamed Shein ametoa Mkono wa Eld Ikulu.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Masheikh wa Zanzibar walipofika Ikulu Zanzibar kumsalimia leo baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisarac Suleiman Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa Dini Ikulu Zanzibar baada ya kumaliziuka kwa Sala ya Eid Fitry katika viwanja vya Maisara Suleiman,kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi wakiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga baada hafla hiyo ikulu Zanzibar.
  • WANANCHI wakiwa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kupokea Mkono wa Eid Fitry leo, baada ya kumalizika kwa mfungi wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
  • WANANCHI wakiwa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kupokea Mkono wa Eid Fitry leo, baada ya kumalizika kwa mfungi wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa Mkono wa Eid Fitry kwa Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa Mkono wa Eid Fitry kwa Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimiana Mkewe Mama Mwanamwema Shein, katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimiana na wananchi waliofika katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.
  • MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud akimsalimia Mama Fatma Karume katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, baada ya kumalizika Baraza la Eid Fitry.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimiana na wananchi waliofika katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wananchi waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid Fitry katika viwanja vya Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar

Dk.Shein amehutubia Baraza la Eld Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar

  • RAIS wa Zabnzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akibadilisha mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, wakiwa katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea heshima za Baraza la Eid Fitry kwa gwaride Maalum la Jeshi la Polisi Kikosi cha FFU, katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
  • BAADHI ya Wananchi waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar,wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni kushoto Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
  • Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe Khamis Juma Mwalim akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein kulihutubia Baraza la Eid Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
  • USTADH Miraj Nyange Khamis akisoma Quran Tukufu kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya Baraza la Eid Fitry lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza msoma Quran Ustadh. Miraj Nyange Khamis, wakati wa hafla hiyo ya baraza la Eid Fitry, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni, kushoto Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, Mama Mwanamwema Shein na Mama Fatka Karume
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni kulihutubia Baraza la Eid Fitry baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja akiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni kuhudhuria hafla ya Baraza la Eid Fitry
  • BAADHI ya Wananchi waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar,wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia.
  • BAADHI ya Wananchi waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar,wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia.
  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Hutuba ya Baraza la Eid Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubi, katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
  • VIONGOZI wa Meza Kuu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe, Ayoub Mohammed Mahmoud,kushoto Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi,Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Khamis Juma Mwalim na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, wakifuatilia hutba ya Baraza la Eid Fitry kastika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia Baraza la Eid Fitry.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Alhajj Ali Mohamed Shein, akihutubia Baraza la Eid Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar leo. 5-6-2019