State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Mwinyi amezindua Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya uimarishaji wa Mazingira ya Biashara.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizindua Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025 na (kushoto) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar kwa ajili ya uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print)2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-3025,katika ukumbi wa hoteli hiyo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Mlango wa Zanzibar na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar leo 30-4-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizindua Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print )2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025 katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar

  • KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Biashara Tanzania Mhe. Selemani Jafo (Mb) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar leo 30-4-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print )2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025 katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print )2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025 katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print )2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025 katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar

  • WAGENI waalikwa na Wadau wa Biashara Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025 katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar

Rais \wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi azungumza na Jopo la Majaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake Jopo la Majaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na wageni wake Jopo la Majaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na ujumbe wa Jopo la Majaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) ukiongozwa na Jaji Mkuu wa Eswatini Mhe.Moses Cuthbert Maphalala (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025 na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya kitabu,kutoka kwa Jaji Mkuu wa Kenya Mhe.Martha Koome, baada ya kumaliza mazungumzo yake ya wageni wake Jopo la Majaji kutoka Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na ujumbe wa Jopo la Majaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) ukiongozwa na Jaji Mkuu wa Eswatini Mhe.Moses Cuthbert Maphalala (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025 na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Jopo la Majaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua awamu ya kwanza ya Uwekezaji wa Sukuki Zanzibar katika viwanja vya Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk .Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa mfano wa hundi wa fedha za Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji,Zanzibar Treasury Sukuk Limited. Dkt. Masoud Rashid Mohammed na Mkurugenzi Muendeshaji Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Arafat Ally Haji,hafla hiyo ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhi fedha za SUKUK, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 29-4-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar, uliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa mfano wa hundi wa fedha za Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji,Zanzibar Treasury Sukuk Limited. Dkt. Masoud Rashid Mohammed na Mkurugenzi Muendeshaji Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Arafat Ally Haji,hafla hiyo ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhi fedha za SUKUK, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025.
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na Kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
  • WAGENI waalikwa katika hafla ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhiwa Fedha SUKUK, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla hiyo ya ufungaji iliyofanyika leo 29-4-2025
  • BAADHI ya Viongozi wa Dini Zanzibar wakihudhuria Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
  • WAGENI waalikwa katika hafla ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhiwa Fedha SUKUK, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla hiyo ya ufungaji iliyofanyika leo 29-4-2025

  • WAFANYAKAZI wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na Kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
  • BAADHI ya Viongozi wa Dini Zanzibar wakihudhuria Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025
  • WAKUU wa Wilaya Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na Kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025