Baraza la Idd el Fitri.
Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ukiwasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,Rais akihudhuria katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Katiba,Sheria.Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, leo akihudhuria katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Katiba,Sheria.Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman (katikati) wakifuatana mara alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, akihudhuria katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya IDD baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud na Kamishana wa Polisi Zanzibar (CP) Mohamed Hassani Haji.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (mbele) akipokea salamu ya Heshma ya Gwaride la Kikosi cha Polisi FFU leo mara alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Askari wa Kikosi cha Polisi (FFU) wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi,Mabalozi,Wananchi na Waislamu mbali mbali katika sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,zilizofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein wakiangalia vitabu na kumsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,zilizofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi,Mabalozi,Wananchi na Waislamu mbali mbali katika sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,zilizofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wakisikiliza na kuangalia Vitabu vya Hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) aliyoitoa leo katika Baraza la IDD-EL-FITRI ikiwa ni kusherehekea Sikukuu baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan sherehe zilizofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Waziri wa Katiba,Sheria.Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman (katikati) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ili kuzungumza na Wananchi na Viongozi katika Baraza la IDD-EL-FITRI ikiwa ni katka kusherehekea Sikukuu ya Eid baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wakisikiliza Hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) aliyoitoa leo katika Baraza la IDD-EL-FITRI ikiwa ni kusherehekea Sikukuu baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan sherehe zilizofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiwahutubia Viongozi,Mabalozi,Wananchi na Waislamu mbali mbali katika sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,zilizofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Katiba,Sheria.Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman (katikati) wakifuatana mara alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, akihudhuria katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika kusheherekea Sikukuu ya IDD baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud na Kamishana wa Polisi Zanzibar (CP) Mohamed Hassani Haji
Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal,Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Amani Abeid Karume na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) wakichukua chakula baada ya sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na wananchi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.