Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Sheikh.Morari Bapu wa Jumuiya ya Hindu kutoka Nchini India, alipofika Ikulu na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.