RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh. Saleh Omar Kabi na Naibu Mufti wa Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh.Saleh Omar Kabi na Naibu Mufti wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi,baada ya kumalizia hafla ya ufunguzi wa Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 8-10-2021.