State House Blog

Dk.Shein amezungumza na Katibu wa Kamati kuu ya Uongozi wa Chama Kikomunisti cha Vietnam Ikulu ZNZ

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Ujumbe alioongazana nao Katibu wa Kamati Kuu ya Uongozi wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam.Mhe.Pham Minh Chinh, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.MheDk.Ali Mohamed Shein, akiagana na Katibu wa Kamati Kuu ya Uongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Vietnam.Mhe. Pham Minh Chinh, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa maelezo ya mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) kwa Katibu wa Kamati Kuu ya Uongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Vietnam.Mhe.Pham Minh Chinh, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia) ujumbe aliofuatana nao

Rais wa Zanzibar amezindua Boti mpya ya kampuni ya Azam Marine ya Kilimanjaro vii.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya Kilinjaro Fast Ferries na Azm Marine.Ndg.Said Salim Bakheressa, alipowasili katika viwanja vyaHoteli ya Verde Mtoni Zanzibar akihudhuria hafla ya Uzinduzi wa Boti ya Kilimanjaro VII, uliofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuizindua Boti Mpya ya Kisasa ya Kilimanjaro VII, ya Kampuni ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Makampuni ya Kilimanjaro Fast Ferreis na Azam Marine Ndg. Said Salim Bakhressa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar.Mhe. Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa wakishuhudia uzinduzi huo wa Boti hiyo uliofanyika katika eneo la Hoteli Verde Mtoni Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar.Mhe Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa (kulia kwa Rais) wakiwa katika chumba cha kuongozea boti hiyo ya Kilimanjaro VII,baada ya uzinduzi wake uliofanyika 27-11-2019, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akimsikiliza, Mwenyekiti wa Makampuni ya Kilimanjaro Fast Ferries na Azma Marine.Ndg. Said Salim Bakhressa wakiwa katika chumba cha kuongozea boti hiyo ya Kilimanjaro VII baada ya kuizindua leo katika eneo la ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Boti ya Kisasa ya Kampuni ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries, uliofanyika katika eneo la ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar,(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Makamupuni ya Kilimanjaro Fast Ferries na Azam Marine.Ndg.Said Salim Bakhressa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Boti ya Kisasa ya Kampuni ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries, uliofanyika katika eneo la ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Makamupuni ya Kilimanjaro Fast Ferries na Azam Marine.Ndg.Said Salim Bakhressa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma.Mhe Haroun Ali Suleiman na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama.Ndg. Mohammed Rajab Soud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar. Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na Jaji Mkuu wa Zanzibar.Mhe. Omar Othman Makungu.

Dk.Shein azungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP nchini Tanzani Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania.Bi.Christine Musisi, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na RaisRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa Ripoti ya Hiyari ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu,(SDG’s) na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania. Bi. Christine Musisi, wakitabasamu wakati wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Dk.Shein amezungumza na ujumbe kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu ya Haukeland ya Nchini Norway.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mr.Trond Mohn, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu ya Hakeland cha Nchini Norway.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland cha Nchini Norway, ukiongozwa na (CEO HUH) Mr. Eivind Hansen (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na wageni wake kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland Nchini Norway baada ya kamaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na (CEO,HUH) Mr.Eivind Hansen, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kwa mazungumza na Ujumbe kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland cha Nchini Norway, kulia Mr.Trond Mohn na Ms.Marit Mohn Westlake, wakiwa katika ukumbi Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland cha Nchini Norway, ukiongozwa na (CEO HUH) Mr. Eivind Hansen (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais

Dk.Shein amefungua Jengo la Tawi la CCM Uzi Wilaya ya Kati Unguja.

  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitanguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud alipowasili katika viwanja vya jingo jipya la Tawi la CCM Uzi Wilaya ya Kati Unguja alipofika kulifungua pamoja na kuweka jiwe la msingi
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiweka jiwe la msingi la Jengo la Tawi la CCM Uzi kushoto Katibu wa Tawi la CCM Uzi Ndg. Simai Jabu Vuai, hafla hiyo imefanyika katika kisiwa cha Uzi Wilaya ya Kati Unguja
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi, wakiwa katika ukumbi wa jingo jipya la Tawi la CCM Uzi, baada ya kulifungua
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisisitiza jambo akiwa na Naibu Katiba Mkuu CCm Zanzibar wakati akizungumza na Wanachama wa CCM Uzi katika hafla ya ufunguzi wa jingo jipya la Tawi la CCM Uzi
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiweka jiwe la msingi la Jengo la Tawi la CCM Uzi kushoto Katibu wa Tawi la CCM Uzi Ndg. Simai Jabu Vuai, hafla hiyo imefanyika katika kisiwa cha Uzi Wilaya ya Kati Unguja
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea jingo jipya la Tawi la CCM Uzinda baada ya kulifungua leo 21-11-2019, (kushoto kwa Rais ) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr.Abdalla Juma Mabodi na kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr Abdalla Juma Mabodi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Bi. Leila Burhani Ngoz, wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Tawi la CCM Uzi wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr Abdalla Juma Mabodi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Bi. Leila Burhani Ngoz, wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Tawi la CCM Uzi wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.