State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar , yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said na Imamu Mkuu wa Masjid Noor Muhammad Sheikh. Othman Maalim.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Masjid Noor Muhammed kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kualizika kwa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad yaliyoandaliwa na Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kuthamini mchango wake katika mashindano ya Quran Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said, wakati wa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Sheikh.Othman Maalim
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakifuatilia Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Majlisil Quran Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kuthamini mchango wake katika mashindano ya Quran Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said, wakati wa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakifuatilia Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Majlisil Quran Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, wakati washiriki wa mashindano hayo wakisoma Quran, mashindano hayo yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzxibar na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh.Said Nassor Said
  • JAJI Kiongozi wa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar akitowa maelezo kwa washiriki wa mashindano hayo kabla ya kuaza, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Majlisil Quran Zanzibar
  • MSHIRIKI wa Mashindano ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar.Ustadh Hamad Juma Salum, akishiriki katika mashindano hayo na kuibuka mshindi wa kwanza, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar
  • WASHIRIKI wa Mashindano ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad Kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, yaliyoandaliwa na Taasisi Majlisil Quran Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar alipofika Ikulu Jijini Zanzibar 30-3-2023, kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania.Mhe David Concar , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-3-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania.Mhe David Concar , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 30-3-2023

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe.David Concar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-3-2023

Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,Zanzibar

  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi( wa pili kushoto) ,alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Mkoba Mwanafunzi Ismaili Ali Ali,Form Five "B" wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba leo katika hafla ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake,(katikati)Mkurugenzi wa World Share nchini Tanzania Bw.Sung Hoon Lee,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi( wa pili kushoto) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Mkoba Mwanafunzi Ummukulthum Omar Hussein,Form Five "B" wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba leo katika hafla ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake,(katikati)Mkurugenzi wa World Share nchini Tanzania Bw.Sung Hoon Lee,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,ujenzi wake uliofadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini, (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma (katikati) hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Skuli hiyo.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi,alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,ujenzi wake uliofadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini, hafla iliyofanyika katika viwanja vya Skuli hiya,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

  • Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba wkimsikiliza kwa makini Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi,alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli hiyo leo, ambapo ujenzi wake umefadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini, hafla iliyofanyika katika viwanja vya Skuli ya Lumumba Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

  • Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba Ndg.Mussa Hassan,alipokuwa akizungumza machache na kuwashukuru Taasisi ya World Share ya Korea Kusini kwa kuweza kusaidia ujenzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake wa skuli hiyo leo ambapo Mgeni rasmi akiwa Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto)

  • Baadhi ya Walimu katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,wakiwa katika hafla ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake wa skuli hiyo leo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) ambapo ujenzi wake umefadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Viwanja vya Skuli ya Sekondari Lumumba kufungua Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake,ambapo ujenzi wake umefadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (wa tatu kulia) akiwa mgeni rasmi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa, wakifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,ujenzi wake uliofadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini,(kushoto) Mkurugenzi wa World Share nchini Tanzania Bw.Sung Hoon Lee
  • Moja wapo ya Nyumba za Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake Zilizojengwa katika maeneo ya Skuli ya Sekondari ya Lumumba,zilizofunguliwa leo na Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi,ambapo ujenzi wake umefadhiliwa na na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Mwinyi ameshiriki dua ya kumuombea Marehemu Salma Mbeto Khamis Msikiti wa Miembeni.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Bw. Salum Dimani, walipokutana katika maziko ya Marehemu Salma Mbeto Khamis, yaliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 24-3-2023, Marehemu ni Ndugu wa Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar.Ndg. Khamis Mbeto Khamis

Rais wa Zanzibar amekutana na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation, Kiongozi wa Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation, Kiongozi wa Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation (wa pili kulia) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation walipofika Ikulu Jijini Zanzibar