State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Watendaji Wakuu wa Mabenki ya Tanzania

 • WATENDAJI Wakuu wa Mabenki ya Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-2-2024
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar na Watendaji Wakuu wa Mabenki ya Tanzania, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-2-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum

Rais wa Zanzibar Mhe Hussein Mwinyi amewatembelea Wazee mbalimbali kwa ajili ya kuwajulia hali zao.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Watoto wa Mtaa wa Jangombe Wilaya ya Mjini Unguja leo 23-2-2024, baada ya kumaliza kumzungumza na Mzee Ramadhan Nzori
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Msanii Maarufu wa Zanzibar Bi.Mwapombe Hiyari, alipofika nyumbani kwake Chuini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 23-2-2024, ikiwa ni utaratibu wake kuwajulia hali Wazee mbalimbali Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Familia ya Mzee Daudi Suleiman Ali, alipofika nyumbani kwake Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kwa ajili ya kumsalimia na kumjulia hali yake leo 23-2-2024.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Mzee Ramadhan Nzori , aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Jangombe Zanzibar, alipofika nyumbani kwake Jangombe Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya mazungumzo na kumjulia hali yake leo 23-2-2024

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Aamejumuika na Wananchi Katika Ibada ya Sala ya Ijumaa Masjid Mubarak Kihinani Bububu Unguja.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mubarak Bububu Kihinani na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mubarak Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 23-2-2024
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Mubarak Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya kujumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 23-2-2024
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mubarak Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 23-2-2024
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mubarak Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 23-2-2024

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amemuapisha Mhe.Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar

Rais wa Zanzibar amefungua Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii The Z Summit 2024 uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.