State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Bweleo katika Sala ya Ijumaa na Dua ya Kumuombea Rais Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi Masjid Taq-Wa Bweleo Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Bweleo na kutowa shukrani kwa niaba ya Familia, baada ya kumalizika kwa kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 31-5-2024 katika Masjid Taq-wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo leo 31-5-2024, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Bweleo na kutowa shukrani kwa niaba ya Familia, baada ya kumalizika kwa kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 31-5-2024 katika Masjid Taq-wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
 • WANANCHI wa Kijiji cha Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika kuitikia dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kisomo cha hitma na dua iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo leo 31-5-2024
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Bweleo na kutowa shukrani kwa niaba ya Familia, baada ya kumalizika kwa kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 31-5-2024 katika Masjid Taq-wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
 • WANANCHI wa Kijiji cha Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa shukrani kwa Wananchi wa Bweleo kwa niaba ya familia, baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwnyi, iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo leo 31-5-2024
 • SHEIKH Suleiman Zahir Khamis akihitimisha kisomo cha hitma ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 31-5-2024
 • BAADHI ya Wazee wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Taq-wa Bweleo, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 31-5-2024
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Taq-wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua Maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Marehemu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 31-5-2024, baada ya Sala ya Ijumaa, dua hiyo iliyoandaliwa na Wazee wa Bweleo

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Shia Tanzania Ikulu Zanzibar

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiangana na Ujumbe wa Uongozi wa Jumuiya ya Shia Ithnaasheri Tanzania ukiongozwa na Sheikh Mkuu wa Jumuiya hiyo Maulana Sheikh.Hemed Jalala, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-5-2024
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Jumuiya ya Shia Ithnaasheri Tanzania ukiongozwa na Sheikh.Mkuu wa Jumuiya hiyo Maulana Sheikh.Hemed Jalala (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 30-5-2024

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum ya Kitabu na Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithnaasheri Tanzania Maulana Sheikh Hemed Jalala , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-5-2024

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe.Toni Tinnes, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 30-5-2024
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe.Toni Tinnes alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-5-2024 kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe.Toni Tinnes, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-5-2024.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe.Toni Tinnes, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-5-2024.

Rais wa Zanzibar Mhje.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Mkutano wa Majadiliano ya Fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara wa Ufaransa kuwekeza Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Nabil Hajlaoui alipowasili katika Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar, kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kwa Wafanyabiashara wa Ufaransa kuja Zanzibar kuwekeza,uliofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo leo 29-5-2024, na (kushoto kwa Rais) Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe.Ali Jabir Mwadin
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Majadiliano na fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali za biashara , mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Majadiliano na fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali za biashara , mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024
 • WASHIRIKI wa Mkutano wa Majadiliano na fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichini) akifungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Pakr Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Majadiliano na fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali za biashara , mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Majadiliano na fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali za biashara , mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024
 • BALOZI wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadin akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano na fursa za Wawekezaji na Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali za biashara, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024, ulioyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
 • BALOZI wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Nabil Hajlaoui akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa majadiliano ya fursa za Wawekezaji na Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Kongamano la 6 la usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

 • WASHIRIKI wa Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2024
 • WASHIRIKI wa Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2024

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa wa KCAA ya Kenya Bi.Mercy Mbaika,akitowa maelezo wakati akitemnbelea maonesho,kabla ya kulifungua Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar leo 15-5-2024
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kwa ajili ya Ufunguzi wa Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga la Jumuiya ya Afrika Mashariki lililofanyika leo 15-5-2024.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi wa Tanroads Chawe Kedrick wakati akitembelea maonesho ya Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2024
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa CEO wa Kampuni ya Coastal Air Ndg.Basil Obeidat, wakati akitembelea maonesho ya Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,kabla ya kulifungua Kongamani hilo linalofanyika leo 15-5-2024,katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Afisa wa Shirika la Ndege Tanzania Ndg.Ali Hassan Nassor, baada ya kutembelea banda la maonesho la Shirika hilo wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar leo 15-5-2024
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mahusiano wa ZAA Mulhat Said Yussuf,akitowa maelezo ya michoro ya Ujenzi wa Uwanja Mpya wa Ndege Pemba, wakati akitembelea maonesho ya Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2024