State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezinduwa Mradi wa kuwajengea uwezo Vijana ili waweze kujiajiri na kuajirika katika sekta ya uchumi wa Buluu.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 17-5-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 17-5-2023
  • WANANCHI, Walimu na Vijana wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kuuzindua Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 17-5-2023
  • VIONGOZI wa Serikali na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 17-5-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbambali alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali Mzee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Bw. Kombo Mzee Kombo alipofika nyumbani kwake Miembeni Jitini Wilaya ya Mjini Unguja kumjulia hali yake leo 13-10-2023, ikiwa ni utaratibu aliojiwekea kuwatembelea Wazee
  • WANANCHI, Walimu na Vijana wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kuuzindua Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-5-2023

Maadhimisho ya isku ya Wauguzi Dunian

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Wauguzi katika sherehe ya Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Wauguzi katika sherehe ya Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kutoka kushoto) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wauguzi Zanzibar (ZANA) Dkt.Rukia Rajab,Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipokea risala ya Wauguzi kutoka kwa Muuguzi Ndg,Saida Kheir Hamad katika sherehe ya Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Baadhi ya Wakurugenzi na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Waguzi wakila kiapo cha Utii katika sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh (wa pili kushoto)Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (kulia) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wauguzi Zanzibar (ZANA) Dkt.Rukia Rajab wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (kushoto) na Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh (kulia) alipohudhuria katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh (wa pili kushoto)Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (kulia) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wauguzi Zanzibar (ZANA) Dkt.Rukia Rajab wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipokea Maandamano ya wauguzi katika Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani leo katika viwanja vya Ukumbi Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh
  • Baadhi ya waunguzi wakiwa katika maandamano na mabango yanayotoa ujumbe mbali mbali katika maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika leo katika viwanja vya Ukumbi Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanziba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu Zanzibar.

  • WAZIRI Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kumaliza mazungumzo yake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • WAZIRI Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kumaliza mazungumzo yake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • WAZIRI Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kumaliza mazungumzo yake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali (hawapo pichani) baada ya kumaliza mazungumzo yake na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair (kushoto kwake) yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali (hawapo pichani) baada ya kumaliza mazungumzo yake na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair (kushoto kwake) yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Balozi wa Canada Nchini Tanzania Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Canada Nchini Tanzania Kyle Nunas, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 3-5-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Canada Nchini Tanzania. Mhe.Klye Nunas, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 3-5-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Canada Nchini Tanzania Kyle Nunas, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 3-5-2023