State House Blog

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amehudhuria mkutano wa “China - African women forum”

 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akielekea katika nafasi yake baada ya kumaliza kuzungumza katika mkutano wa Ushirikiano Kati ya Wanawake wa Mataifa ya Afrika na China “China –Africa Women Forum” ukizungumzia maendeleo ya Wanawake, uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China
 • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika mkutano wa “China –Afrika Women Forum” uliohudhuriwa na baadhi ya Wake Marais wa Afrika na Viongozi wa Wanawake wa China na Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China
 • BAADHI ya Wake wa Marasi na Viongozi wa Jumuiya za Wanawake wa China na Afrika wakimsiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani ) akihutubia katika mkutano wa Ushirikiano wa Wanawake wa China na Afrika “China –Africa Women Forum” uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China 29-6-2023.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika mkutano wa “China –Afrika Women Forum” uliohudhuriwa na baadhi ya Wake Marais wa Afrika na Viongozi wa Wanawake wa China na Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kutoka kushoto wa saba) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wake wa Marais wa Afrika na Viongozi wa Wanawake kutoka China na Afrika, wanaoshiriki katika mkutano wa Uhusiano wa Wanawake wa China na Afrika “China –Africa Women Forum” kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa jengo la Xiangjiang Jimbo la Hunan China
 • WASHIRIKI wa Mkutano wa Uhushirikiano Kati ya China na Afrika “China-Afrika Woman Forum” wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ma Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika katika ukumbi wa mkutano wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China
 • WASHIRIKI wa Mkutano wa Uhushirikiano Kati ya China na Afrika “China-Afrika Woman Forum” wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ma Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika katika ukumbi wa mkutano wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaa

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Ujumbe wa Shirika la Kimtaifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania Bi.Nesia Mahenge, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 26-6-2023 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania (kulia kwa Rais)Bi.Nesia Mahenge, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2023, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Maendeleo Jumuishi wa( CBM)Ndg.Dominique Schulkopthen baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2023, na(kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania wa (CBM) Bi. Nesia Mahenge.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania (kulia kwa Rais)Bi.Nesia Mahenge, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2023, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania (kulia kwa Rais)Bi.Nesia Mahenge, Mkurugenzi Maendeleo Jumuishi wa (CBM) Ndg.Dominique Schulkopthen na Mkurugenzi Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini Afrika Ndg.Albert Kombo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 26-6-2023.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Christian Blind Mission (CBM) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkaazi Nchini Tanzania (kulia kwa Rais)Bi.Nesia Mahenge, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2023, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.

Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizindua Mifumo ya Kielektroniki katika Utumishi wa Umma katika hafla ya Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kushoto) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora)Mhe.George Simabachawene.
 • Baadhi ya Makatibu Wakuu na Viongozi wengine wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimkabidhi cheti Ndg John Kangano Mwisango (kushoto) kutoka Engo Kampany katika hafla ya Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kulia) Mke wa Rais Mhe.Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimkabidhi cheti Ndg John Kangano Mwisango (kushoto) kutoka Engo Kampany katika hafla ya Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kulia) Mke wa Rais Mhe.Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia pichani) akitoa hutuba yake katika Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman,Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora)Mhe.George Simabachawene
 • Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ili azungumze na Viongozi na Wafayakazi mbali mbali katika Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar,(kulia) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid, Mke wa Rais Mhe.Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
 • Mawaziri wa Wizara mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika hafla ya sherehe ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar,(kushoto) Mke wa Rais Mhe.Mama Mariam Mwinyi

Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kumpongeza,iliyotolewa na Taasisi ya Tanzania Women Cross Party Platform (ULINGO)

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kumpongeza,iliyotolewa na Taasisi ya Tanzania Women Cross Party Platform (ULINGO) akikabidhiwa na Makamu Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-6-2023

Mwakilishi wa UNicef Tanzania.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar kwa mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Shalina Baguhuna, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake leo katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Shalina Baguhuna, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake leo katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Shalina Baguhuna (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar (wa tatu kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Wasaidizi wa Rais.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Shalina Baguhuna, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar