State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameufungua Mkutano Mkuu wa 15 wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar ZNCC Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefunga Mkutano wa Kimataifa wa Magonjwa ya Moyo katika ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar.

Rais Dk. Mwinyi amekutana na Uongozi wa Chelsea.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea fulana la Timu ya Chelsea ya England kutoka kwa Mkuu wa Masoko na Mauzo Ndg.Banes Hampel,wakati Ujumbe wa Timu hiyo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na Mkuu wa Masoko na Mauzo Ndg.Banes Hampel, Timu ya Chelsea ya England baada ya Mazungumzo akiwa na ujumbe wake wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Timu ya Chelsea ya England (kushoto) wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana leo ambapo wamegusia kuitangaza Zanzibar katika sekta ya Utalii na kuanzisha Vyuo vya Mpira wa Miguu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Ujumbe wa Timu ya Chelsea ya England (kushoto) wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana leo, ambapo wamegusia kuitangaza Zanzibar katika sekta ya Utalii na kuanzisha Vyuo vya Mpira wa Miguu

Rais Dk.Mwinyi amewaapisha Viongozi aliowateuwa hivi karibuni.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Zawadi Amour Nassor kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini .kabla ya uteuzi alikuwa mwakilishi wa Jimbo la Konde Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • Viongozi mbali mbali wa Serrikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Mawaziri wapya walioapishwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia na kutoa maagizo kwa wateule hao leo baada ya hafla kiapo iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Salha Mohamed Mwinjuma kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi,Maendeleo ya Makaazi .kabla ya uteuzi alikuwa mwakilishi wa Viti maalum Kundi la Vijana Kusini,Unguja,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango.kabla ya uteuzi alikuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi,Maendeleo ya Makaazi,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Shaabani Ali Othman kuwa Waziri wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi .kabla ya uteuzi alikuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama waliwa katika hafla ya kiapo kwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kushika nyazifa mbali mbali, katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Mudrika Ramadhan Soraga kuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale,kabla uteuzi alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Kazi,Uchumi na Uwekezaji,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Ali Suleiman Ameir (Mrembo) kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu,kabla ya Uteuzi alikuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango,hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya Viongozi wa Dini na Mawaziri na Maafisa katika Taasisi za Serikali wakiwa katika hafla ya kiapo kwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kushika nyazifa mbali mbali, katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika hafla ya kiapo kwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kushika nyazifa mbali mbali, katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya wanafamilia wa Viongozi walioapishwa wakiwa katika hafla ya kiapo kwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kushika nyazifa mbali mbali, katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe,Zawadi Amour Nassor kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini .kabla ya uteuzi alikuwa mwakilishi wa Jimbo la Konde Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Viongozi mbali mbali wa Serrikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Mawaziri wapya walioapishwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia na kutoa maagizo kwa wateule hao leo baada ya hafla kiapo iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake katika hafla ya kiapo kwa Viongozi aliowateuwa hivi karibuni,ambapo hafla ya kiapo imefanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali katika Taasisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia saini Sheria ya Mahkama ya Kadhi,ambapo alitia saini Sheria mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ikiwemo Sheria ya kuweka Masharti ya mtoaji wa Leseni,Sheria Mpya ya Uwekezaji Zanzibar,Sheria ya Mkaguzi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia saini Sheria ya Mkaguzi wa Umma ,ambapo alitia saini pia Sheria mbali mbali za Srikali ya Mapinduzi Zanzibar,ikiwemo Sheria ya kuweka Masharti ya mtoaji wa Leseni,Sheria Mpya ya Uwekezaji Zanzibar, Sheria ya Mahkama ya Kadhi, katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi waliohudhuria katika hafla ya Utiaji wa saini Sheria mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mara baada ya utiaji wa Sheria hizo katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwemo Sheria ya kuweka Masharti ya Mtoaji wa Leseni,Sheria Mpya ya Uwekezaji Zanzibar, Sheria ya Mahkama ya Kadhi na Sheria ya Mkaguzi wa Umma
  • Viongozi waliohudhuria katika hafla ya Utiaji wa saini Sheria mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar saini iliyotiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar