State House Blog

Balozi wa Morroco Nchini Tanzania

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.