Mkutano wa Kampeni za CCM Kiwani Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk.Husseio Ali Hassan Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika Mkutano wa Kampeni za CCM zinazoendelea huko Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wakiwa katika Mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo uwanja wa Skuli ya Tasini Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,uliowanadi wagombea nafasi mbali mbali ikiwemo Urais wa Zanzibar, Ubunge,Uwakilishi na Diwani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia)Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk.Husseio Ali Hassan Mwinyi (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa kusini Pemba wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika leo Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wakiwa katika Mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo uwanja wa Skuli ya Tasini Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,uliowanadi wagombea nafasi mbali mbali ikiwemo Urais wa Zanzibar, Ubunge,Uwakilishi na Diwani.
Wanachama wa CCM wakiwa katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu zilizofanyika leo Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Pemba katika viwanja vya Kiwani Wilaya ya Mkoani katika mkut