State House Blog

Rais Dk.Mwinyi akiwaapisha Makamishna.

  • Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Makamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umaa, iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Bi.Asha Khamis Hamad akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
  • VIONGOZI wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi.Asha Khamis Hamad kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi.Asha Khamis Hamad kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Bw.Yahout Hassan Yakout akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj .DK. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Yahout Hassan Yakout kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu Mhe.Jamali Kassim Ali,wakiwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali wakisimama Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.