State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Mwinyi ameshiriki dua ya kumuombea Marehemu Salma Mbeto Khamis Msikiti wa Miembeni.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Bw. Salum Dimani, walipokutana katika maziko ya Marehemu Salma Mbeto Khamis, yaliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 24-3-2023, Marehemu ni Ndugu wa Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar.Ndg. Khamis Mbeto Khamis