State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk Hussein Mwinyi amezungumza na Masheikh na Wananchi waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumtakia Kheri ya Sikukuu ya Eid Fitry.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia na kumtakia Kheri ya Sikukuu ya Eid Fitry, na kutowa mkono wa Eid kwao
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh na Viongozi wa Dini katika kuitikia dua ikisomwa na Sheikh. Khamis Abdulhamid (hayupo pichani) baada ya kumaliza kumsalimia na kumtakia Kheri na Sikukuu ya Eid Fitry, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla
  • VIONGOZI wa Dini na Masheikh Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza na Masheikh hao katika ukumbi wav Ikulu Jijini Zanzibar, walipofika kwa ajili ya kumsalimia na kumtakia kheri ya Sikukuu ya Eid Fitry, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 10-4-2024