State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amehutubia Baraza La Eid Fitry katika ukumbi wa Chuo Cha Polisi Ziwani Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amehutubia Baraza La Eid Fitry katika ukumbi wa Chuo Cha Polisi Ziwani Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi baada ya kupokea Salamu za Heshima za Baraza la Eid kutoka gwaride maalum la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid Fitry katika viwanja vya Ukumbi wa Chuo cha Polisi Ziwani leo 10-4-2024 Wilaya ya Mjini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Salamu ya Heshima katika Sherehe za Baraza la Eid Fitry, katika viwanja vya Chuo cha Polisi Ziwani Wilaya ya Mjini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Salamu ya Heshima katika Sherehe za Baraza la Eid Fitry, katika viwanja vya Chuo cha Polisi Ziwani Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-4-2024.