State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Viongozi na Wananchi katika Kisomo cha Dua kumuombea Baba yake Mzazi katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais wa Zanzibar Mstaafu Alhajj Dkt.Amani Abeid Karume,baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan. Mhe Hafidh Ameir,baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa Serikali na Wananchi,baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
  • VIONGOZI wa Serikali, Wanafamilia na Wananchi mbalimbali waliohudhuria Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa kisomo hicho na Iftar, kilichofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman, baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa Serikali na Wananchi,baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa Serikali na Wananchi,baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Dua ya kumuombea Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali na Wananchi katika kuitikia dua ya kuhitimisha Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi.
  • BAADHI ya Wananchi wa Jiji la Zanzibar wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Familia yake katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwake) Mjane wa Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi Mama Siti Mwinyi na (kushoto kwake) Mjane wa Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi Mama Khadija Mwinyi, wakijumuina na Viongozi na Wananchi wa Zanzibar katika Kisomo cha Dua na Hitma ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
  • SHEIKH Abdulrahaman Dedesi akiongoza kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika jana 7-4-2024, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • VIONGOZI wa Serikali na Chama wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Familia yake katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
  • BAADHI ya Wananchi wa Jiji la Zanzibar wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Familia yake katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024
  • BALOZI Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi, Masheikh na Wananchi wa Zanzibar wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Familia ya Marehemu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,katika kisomo cha Dua ya kumuombea, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana 7-4-2024