Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa Masjid Shura Magomeni Zanzibar.
23 Aug 2024
10
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini alipowasili katika viwanja vya Masjid Shura Magomeni Wilaya ya Mjini Unguja, kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 23-8-2024.
MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi akisoma dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Shura Magomeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 23-8-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Masjid Shura Magomeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 23-8-2024

BAADHI ya Wajumbe wa Baraza la Maulamaa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia Waumini, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Shura Magomeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 23-8-2024