State House Blog

Rais wa Zanzibar Lhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Kijiji hca Kilimani Tazri katika Dua ya kumuombea Rais wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi na Ibada ya Sala ya Ijumaa.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Mifti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi alipowasili katika viwanja vya Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja, kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuiombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 12-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Hadid Rashid Hadid, iliyofanyila leo 12-4-2024 katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Kijiji cha Kilimani Tazari Kidoti, Mkoa wa Kaskazini Unguja katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 12-4-2024 baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari. na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Hadid Rashid Hadid
  • WANANCHI wa Kijiji cha Kilimani Tazari Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 12-4-2024
  • WANANCHI wa Kijiji cha Kilimani Tazari Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 12-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Hadid Rashid Hadid, iliyofanyila leo 12-4-2024 katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalia Wananchi wa Kijiji cha Kilimani Tazari Kidoti baada ya kumalizika kwa Dua na Kisomo cha Hitma ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 12-4-2024, katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa