State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS).

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban, akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) baada ya uzinduzi huo uliofanyika leo 15-3-2023 Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubia Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais ) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, uzinduzi huo uliyofanyika 15-3-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Kuzinduzi wa Maabara 4 Mpya za Kisasa za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Bw. Yussuf Nassor Majid, uzinduzi huo uliyofanyika 15-3-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubia Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais ) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, uzinduzi huo uliyofanyika 15-3-2023
  • MUONEKANO wa Jengo Jipya la Maabara la Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) lililoko katika maeneo la Maruhubi Wilaya ya Mjini Ugunja Jijini Zanzibar.