State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezinduwa Mradi wa kuwajengea uwezo Vijana ili waweze kujiajiri na kuajirika katika sekta ya uchumi wa Buluu.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 17-5-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 17-5-2023
  • WANANCHI, Walimu na Vijana wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kuuzindua Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 17-5-2023
  • VIONGOZI wa Serikali na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 17-5-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbambali alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu
  • MSANII wa Kikundi cha Wapendanao Ndg.Jongo Ali Ame akionesha umahiri wake wa kupiliza Zumari kunogesha Ngoma ya Msewe ikitowa burudani, wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi wa mradi huo uliyofanyika katka ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-5-2023
  • WANANCHI, Walimu na Vijana wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kuuzindua Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-5-2023