State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mewinyi amezungumza na ujumbe wa Chuo cha NDC Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC) Balozi Meja Generali Wilbert Augustine Ibuge, akizungumza wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 30-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC) Balozi Meja Gerenali Wilbert Augustine Ibuge, baada ya kumaliza mazungumzo na ujumbe huo, yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-4-2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC) ukiongozwa na Mkuu wa Chuo hicho Balozi Meja Generali Wilbert Augustine Ibuge, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumb Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC) Balozi Meja Gerenali Wilbert Augustine Ibuge, baada ya kumaliza mazungumzo na ujumbe huo, yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC) Balozi Meja Gerenali Wilbert Augustine Ibuge, baada ya kumaliza mazungumzo na ujumbe huo, yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-4-2024