State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Kongamano la kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 25-4-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar25-4-2023.
  • MTOA Mada Mhe. Stephen Masatu Wasira akiwasilisha Mada yake kuhusu Historia ya Umuhimu wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, wakati wa Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 25-4-2023.
  • MTOA Mada Mhe.Balozi Mohammed Haji Hamza akiwasilisha Mada yake kuhusu Fursa Ziliopo kwa Vijana Ndani ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, wakati wa Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 25-4-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi kumpongeza Mwasilishaji wa Mada Mhe. Stephen Wasira, wakati akiwasilisha Mada yake katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 25-4-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Prof. Patrick Lumumba baada ya kulifungua Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 25-4-2023 na (kulia kwa Rais) Mhe. Stephen Wasira.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 25-4-2023.