State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.,Dk.Hussein Mwinyi ameifungua Barabara ya Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Pemba ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkurugenzi wa ZIPA Pemba na Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara maeneo huru ya Uchumi Micheweni Koa wa Kaskazini Pemba Mhandisi Suleiman Abdallah Ali akitowa maelezo ya Mradi huo wakati wa Uzinduzi wa wa Barabara ya Maeneo Huru ya Uchumi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni shamrashara za sherehe za Maadhimisho ya Miako 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,uzinduzi huo uliofanyika leo 23-4-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Barabara ya Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa ni Shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miako 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff na Mkurugenzi wa IRIS Mr.Suleiman,uzinduzi huo uliofanyika leo 23-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Mradi wa Barabara Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, mradi huo uliozinduliwa 23-4-2024,ikiwa ni shamrashara za sherehe za Maadhimisho ya Miako 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar