State House Blog

Rais Wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amewaapisha Majaji wa Mahakama kuu Zanzibar.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Haji Suleiman Khamis(Tetere) kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Wakili wa Kujitegemea
 • Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar wakiwa katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar walioteuliwa hivi karibuni, iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Salum Hassan Bakari kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Mrajis wa Mahkama Kuu
 • wanasheria Mkuu Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Ndg.Saleh Juma Mussa wakiwa katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar walioteuliwa hivi karibuni, katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Bi.Khadija Shamte Mzee kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar
 • Baadhi ya Majaji wa mahkama Kuu ya Zanzibar wakishudia Majaji wapya wa Mahakama Kuu walipoapishwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.
 • Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman pamoja na Viongozi wengine wakiwa hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar walioteuliwa hivi karibuni, katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • MAJAJI wa Mahkama Kuu Zanzibar wakifuatilia kuapishwa kwa Majaji wa Mahkamu Kuu Zanzibar walioteuliwa hivi karibu, wakati wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidi hati ya kiapo Mhe. Haji Suleiman Khamis (Tetere) baada ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Mhe. Salum Hassan Mzee, baada ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Haji Suleiman Khamis (Tetere) kuwa Jaji wa Hahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi hati ya kiapo Mhe. Khadija Shamte Mzee baada ya kumuapisha kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akumuapisha Mhe.Salum Hassan Bakari kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Khadija Shamte Mzee kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023
 • WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia kuapishwa kwa Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, walioteuliwa hivi karibuni, wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023
 • MAJAJI wateule wa Mahkama Kuu Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar wakisubiri kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na kutoka (kulia ) Mhe. Khadija Shamte Mzee, Mhe. Salum Hassan Bakari na Mhe. Haji Suleiman Khamis (Tetere)
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuwaapisha Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar akiowateua hivi karibuni, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdullah, hafla hiyo ya kuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023