State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na ujumbe wa Kampuni ya WAPCOS Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum ya Kitabu kinachoelezea kampuni ya WAPCOS na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw.Rajni Krant Agrawal, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-5-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya WAPCOS kutoka Nchini India Bw. Rajni Kant Agrawal , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-5-2024