Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Watendaji Wakuu wa Mabenki ya Tanzania
WATENDAJI Wakuu wa Mabenki ya Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar na Watendaji Wakuu wa Mabenki ya Tanzania, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-2-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum