State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhje.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Mkutano wa Majadiliano ya Fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara wa Ufaransa kuwekeza Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Nabil Hajlaoui alipowasili katika Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar, kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kwa Wafanyabiashara wa Ufaransa kuja Zanzibar kuwekeza,uliofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo leo 29-5-2024, na (kushoto kwa Rais) Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe.Ali Jabir Mwadin
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Majadiliano na fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali za biashara , mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Majadiliano na fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali za biashara , mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Majadiliano na fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichini) akifungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Pakr Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Majadiliano na fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali za biashara , mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Majadiliano na fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali za biashara , mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024
  • BALOZI wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadin akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano na fursa za Wawekezaji na Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali za biashara, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024, ulioyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • BALOZI wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Nabil Hajlaoui akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa majadiliano ya fursa za Wawekezaji na Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024