Balozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, kulia akiwasilisha Salamu za rambirambi kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed S

MTAWALA WA SHARJAH AMEPOKEA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA KWA RAIS WA ZANZIBAR.

MTAWALA wa Sharjah Sheikh Sultan Bin Mohammad Al Qasimi amepokea salamu za rambirambi kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alizozituma kwa Mtawala…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, akiondoka Zanzibar kuelekea Nchini Uingereza kwa safari Maalum, akiwa katika Uwanja w

DK. SHEIN AMEELEKEA NCHINI UINGEREZA KWA SAFARI MAALUM.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ameondoka nchini leo kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu.

Read More

SALAMU ZA PONGEZI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewatumia salamu za pongezi Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kwa kutimiza miaka 57…

Read More

MAADHIMISHO YA SIKU YA UTUMISHI WA UMMA ZANZIBAR.

UONGOZI wa Ofisi ya Rais na Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa kushirikiana na Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) umetakiwa kuandaa programu maalum ya mafunzo ya muda mfupi kwa ajili ya Viongozi,…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

DK. SHEIN AMEFUNGUA MKUTANO MKUU WA NNE WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali inatambuwa kuwa kuwepo kwa vyama vya wafanyakazi nchini, kunaendana na sheria na Katiba ya Zanzibar…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Zanzibar (UUB) Eng. Ali Tahir Fatawi, akitowa maelezo ya Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara alipotembelea e

DK. SHEIN AMETEMBELEA VIFAA VIPYA VYA UJENZI WA BARABARA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewahakikishia wananchi kuwa ahadi zote zilizotolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar za kutengeneza barabara…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akishiriki katika kisoma cha Hitma na dua kumuombea Marehemu Dr. Badria Abubakar Gurnah.

DK SHEIN AMEHUDHURIA HITMA YA DR. BADRIA ABUBAKAR GURNAL.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein ameongoza hitma ya kumuombea Dk. Badriya Abubakar Gurnal mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla…

Read More