Dkt.  Mwinyi amechangia Shilingi Milioni 50 katika Mfuko Maalum wa Kampeni za CCM

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amechangia Shilingi Milioni 50 katika Mfuko Maalum wa…

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inahitaji fursa za Uwekezaji katika Sekta ya Utalii

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Zanzibar inahitaji fursa za uwekezaji katika sekta mbalimbali ikiwemo Uchumi wa Buluu, sekta…

Read More

Rais wa na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa dini ya Kiislam katika Dua ya Kumuombea Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Marehemu Salim Turky.

Rais wa na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa dini ya Kiislam katika Dua ya Kumuombea Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Marehemu Salim Turky.Dua…

Read More

Rais Mwinyi amefungua Jengo Jipya la Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar( ZEC)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi Jengo jipya na la kisasa la Afisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) lililopo Maisara,…

Read More