Dk.Shein amewatumia salamu za pongezi viongozi wa nchi za (UAE),kwa kutumiza miaka 41 yaTaifa hilo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewatumia salamu za pongezi viongozi wa nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), kwa kutimiza miaka 41 ya Taifa hilo.
Read More